Sunday 20 April 2014

Tiba ya kukosa nguvu za kiume bila sababu inayoeleweka

 Kama si mawazo ya maisha na njaa basi inabidi uwe na nguvu za kiume kama unakula na kushiba na pamoja na dawa hizi kula tikiti maji(water melon) kabla ya tendo la ndoa na kunywa tangawizi vikombe kama viwili.
Dawa ya tiba
Tumia dawa aina 32 zilizotokana na miti aina 32 na kusagwa kuwa unga, unga huu unautumika kwenye asali na unakunywa mara 3 vijiko 2 kila siku na utaona matokeo mazuri ya nguvu alizoweka Mungu katika miti hii. Utapona hata magonjwa usiojua bado kwani dalili hizi zinakuwa na sababu mbali mbali za kisayansi na zisizo za kisayansi kwa sababu hata hospitali wanapiga sindano na vidonge bila kupona na ugonjwa wakipima uwaga hawapati jibu la wazi.

Pia dawa ya kujipaka sehemu za mwili hasa zote ili kufanya tiba kupitia kwenye matundu ya ngozi na hii inasaidia kutibu magonjwa yenye asili ya nguvu za giza na kufanya mishipa ipitishe damu kwa wepesi baada kuchua kwa kupaka mafuta haya yaitwayo powerful oil na haya mafuta ya nguvu kubwa ya kuponya kwa uwezo Mungu muumba kwani yametajwa kwenye vitabu vya dini kama injili, taurati na Qur'an


Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment