Sunday 15 June 2014

Tiba Mbadala kwa ajili ya Malaria, Typhoid,kuchoka bila sababu, kuhisi ganzi na kuwaka moto baadhi ya viungo

Powerful Oil ni Mafuta yenye tiba ya:
Kuondoa Nguvu za giza kwenye mwili wako, nuksi na mikosi yenye chanzo cha uchawi na hali ya kutoweza inatoweka ukiisha paka kwani unakuwa na hali isiyo ya kawaida ya kimori na kufanya mwili uwe na hali ya kuchangamka. Kufukuza majini kwenye mwili na kuondoa ganzi na mwili kuumwa viungo na kuhisi vitu vinatembea mwilini. Kuondoa hali ya woga na kutojiamini na kukata tamaa, maumivu ya kichwa na viungo vya mwili.
Mafuta haya yanatokana na mimea mchanganyiko iliyotajwa katika vitabu vitakatifu vya Injili, Taurati, Zaburi na Qur;an

Unajipaka kila siku kwa siku saba asubuhi na jioni na Kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee mwenye uwezo utaona mabadiliko makubwa kwenye mwili wako, roho na hata utendaji kazi wako wa kila siku.

Ndoto za kutisha na kuota unalishwa vitu, unafanya mapenzi na watu usiowajua na wale unaowajua, kuota unapaa, kuota uko makaburini, wachawi kuingia nyumbani kwako na kukuchanja yote haya ukiisha jipaka na kumimina kidogo kwenye madirisha, milango, pembe za nyumba na kuzungusha nyumba yako yatakoma na utalala kwa amani. watoto wadogo wapake nao kwani kulia usiku na kustuka mara nyingi ni nguvu za giza za kishirikina.

POWERFUL OIL

JIPAKE KABLA YA KULALA KUZUIA NA KUFUKUZA WACHAWI NA MAPEPO YAO KUKUCHEZEA.
KUZUIA WASIINGIE WACHAWI NYUMBANI KWAKO NA KUKUCHEZEA KWA KUTUMIA NGUVU ZA SHETANI, NYUNYIZIA PEMBE ZA NYUMBA, MLANGONI NA MADIRISHANI, WACHAWI NA MASHETANI YAO HAWATAINGIA NA KILA WAKIJARIBU KWA UWEZO WA MUNGU MMOJA MUUMBA WATAKUWA WANAUNGUZWA NA BARAKA ZA MAFUTA HAYA KWANI ASILI YAKE NI MITI ILIYOBARIKIWA NA IKATAJWA KATIKA VITABU VITAKATIFU VYA DINI.

TIBA MBADALA, MT32 NA SAFISHA

DAWA HIZI ZINATIBU MAGONJWA HAYA
MT32
DAWA HII MITI KAMA 32 NA IMESAGA PAMOJA
KUHISI MWILI HAUNA NGUVU, KUONDOA UCAHWI MWILINI KAMA ULILISHWA AU ULITEGWA
KUSAIDIA MISHIPA YA MWILI KUWA NA NGUVU
KUONDOA MWILI KUHISI JOTO BILA KAWAIDA NA BAADHI YA VIUNGO KUFA GANZI

SAFISHA
INAONDOA UCHAFU TUMBONI NA KUONDOA MAFUTA TUMBONI NA KWA WASIOPATA CHOO KWA URAHISI INAWASAIDIA. PIA KUPUNGUZA UZITO WA KITAMBI NA WA GHAFLA LAKINI NA MAZOEZI INABIDI UFANYE NA KULA MLO MZURI WENYE SIFA ZA LISHE NA SI KULA KILA KITU MRADI USONI NI KIZURI.


Pata dawa iitwayo Powerful Oil na kabla ya kulala jipake mwili mzima na hii tabia itakoma na ukijipaka siku saba inaisha kwani mashetani hawatakuja tena kukusumbua ndotoni.

Madawa mengine

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.


 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL


HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO

3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.


Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment