Saturday 7 June 2014

Vituko na mambo ya Uchawi Ulaya, Afrika na duniani kwa ujumla, sasa uchawi unasambaa sana kuliko maelezo

Serikali ya Tanzania inautambua uwepo wa uchawi kisheria. Hii ni kweli kwa kuwa Sheria ya kudhibiti uchawi (Witchcraft Supression Act) inampa mamlaka Mkuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa au Rais kumpeleka uhamishoni mtuhumiwa wa uchawi ambao umethibitika. Hata hivyo, sheria hiyo hiyo inalifanya tendo la kumtuhumu mtu kwamba ni mchawi kuwa ni kosa la jinai. Huu ni mkanganyiko wa kisheria unaohitaji kufanyiwa kazi.


 wachawi wakiwa chini ya ulinzi baada ya kudondoka kutoka angani

Kushoto Moto wa wachawi usiku kwenye mikutano yao.
 Juu ni  mchawi alikamatwa Zimbabwe akifanya uchawi kwenye nyumba za jirani mjini Harare

Hizi hapa ni picha za wazungu wakifanya uchawi chango chake ni mitandao ya kichawi ulaya, mfagio ni ndege yao ya kichawi uko ulaya na wanapaa kwa nguvu za giza na wakiwa uchi wa mnyama na inaitwa broom for witches, hii sasa hivi Ulaya wanaona kuabudu Lucifer shetani ndo kasi mpya kwa vijana na watu mbali mbali wakiwemo wasomi wanajifunza uchawi na sasa wanatoa diploma na digrii za uchawi baadhi ya vyuo ulaya, samahani sitatajwa hapa ili nisiwape watu wenye mlango wa kupenda hayo kupitia na kuanza kusumbua watu.

Jua Mungu mmoja ndo wa kuabudu na hii itakufanya uwe na Amani katika maisha kuliko kuabudu shatani asiyekuwa na huruma kabisa na yeye ni mwenye kupoteza watu na adui mkubwa wa mwanadamu kwani yeye ukikufuru Mungu sana anakuwa rafiki yako sana. Wachawi kupata nguvu za kupaa, kuroga na mengine mengi machafu ni kuwa umuabudu shetani na kumkufuru Mungu sana ndipo upata msaada wa shetani na jeshi lake. mchawi akikutana na Mcha Mungu wa kweli uwa anashindwa kumdhuru na mashetani hushindwa na hatimaye kuangamia kwani jeshi la Mungu lina nguvu kuliko la shetani.
 Huyo mama wa kizungu yuko anamchezea shetani msituni kama matambiko yao kishirikina kumfanya shetani ili awape nguvu ya ziada kwa kupepeta sehemu zake za sirihuku akiwa uchi wa mnyama kama moja wapo ya kumfurahisha shetani ili awe tayari kumpa nguvu za giza. Jamani dunia imefikia pabaya tunaowaita wastaarabu sasa wanakuwa vituko.

 Zote hizi na matambiko pia na mafuvu ni Shuguli za kishetani na wanafanya sana sasa ulaya na ukisikia hali ndo hii na sasa kwenye sehemu nyingi uchawi na ushirikina ni kama fashion na kwa uwazi sasa Ulaya wanauza mpaka vidoli vyenye nguvu za giza kwenye mtandao na wanasafirisha kwa wateja kama bidhaa nyingine, ushahidi andika kwenye google usech neno hili: voovo doll to purchase utaona makampuni mengi yanatokea fungua moja uone hata bei zake. Watu wajinga wananunua na kuweka kwenye magali, majumbani na maofisini kumbe wanaweka ngome ya shetani na kundi lake kama majni na mapepo, hatimaye yake nikupata matatizo makubwa mbeleni. Shetani si rafiki wa muda wote na hana huruma itafika siku akugeuke na anawapatia washirikina kazi ngumu kama kwenda uchi usiku, msituni ukiwa uchi kama huyo mama mwenye jani anapepea sehemu zake za siri ili shetani afurahi.

Yote haya ni mavazi ya matambiko ya kichawi na unaona mafuvu yana mishumaa pembeni

 Hata hapa wanafanya matambiko ya kishetani, je hii utasema uchawi haupo, utafiti unaonyesha upo na unakuwa sana
Dawa hii imefanyiwa utafiti kwa muda wa miaka 5 na sasa watu wengi wameomba ipatikane kwa urahisi kwani ni madawa 32 ya mitishamba kutoka Africa, Asia na Mashariki ya kati na kuipata wakati mmoja na kuisaga ni zoezi gumu kwa watu wengine ambao ndo wengi.

Mwanzoni tulikuwa tunawaandikia majina wanatafuta maduka ya mitishamba na dawa za asili ya asia na middle east wanapata baadhi na wakati mwingine muuzaji anashindwa kuzitambua na anawauzia isiyokuwa yenyewe kwa majina ya madawa hayo.

Sasa tumezitafuta wenyewe na kuzisaga na kupaki kwenye chupa ya plasitic unga wake na ni tayari kwa maumizi.

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.

Pata dawa iitwayo Powerful Oil na kabla ya kulala jipake mwili mzima na hii tabia itakoma na ukijipaka siku saba inaisha kwani mashetani hawatakuja tena kukusumbua ndotoni.

Madawa mengine

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.


 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL


HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO

3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.


Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

Kama ni mmojawapo una dalili hizi:

kuhisi vitu vinatembea mwilini
Miguu kuwaka moto
baadhi ya viuongo kufa bila sababu ya kitaalamu
kuhisi kila mara huna nguvu na malaria wala typhoid ukima mara kadhaa haipo
Unabanwa kifua na hali hauna athma au tatizo linatokea na kurudi
Kupata hedhi kwa shida au mfululizo bila kukoma
Kuumwa chini ya kitovu na ukipima hana minyoo kabisa
Kuhisi tumbo lina vitu vinanguruma na kuviringika kama unayomimba hii ni kwa wanawanake na wanaume
Kutoka mimba mara kwa mara bila sababu za kitaalamu
Kuota ndoto za kutisha
Kuota unafanya mapenzi na watu au mtu au mnyama
Kutingisha mwili wakati unakaribia kusinzia na unastuka
Kuota nyoka au paka anakuuma mara kwa mara
Kuota umebeba watoto
Kuota unapewa nyama au chakula
Kuota upo msituni mara kwa mara
Kuota ajali mara kwa mara
Kuota unaongea na watu waliokufa
Kuota unajisaidia chooni au uko chooni
Kuota uko makaburini
kuchukiwa na kila mtu bila sababu hasa mke au mme, ndugu, bosi wako kazini, wateja
Kukuta umechanjwa usiku na unayo mikwaruzo mikubwa au midogo
Kukata tamaa kila mara na kutaka kujiua
Kutoona ubaoni na ukiwa nje unaona vizuri
Kuwa mvivu bila sababu na ulikuwa mchapa kazi uko nyuma.

dalili hizi mara nyingi ni zakuwa umelogwa au una majini wanakusumbua ili usitulie na kuwa na Amani.

Pia kuna powerful soap yenye madawa na mafuta maalum ukioga inaharibu nguvu za uchawi na kuondoa mikosi na nuksi ya kiuchawi
Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment