Monday 19 January 2015

Uchawi wa kudhoofisha hali na kasi ya juhudi za mtu

Wachawi na mashetani wana mbinu nyingi za kuvuruga wanadamu, mchawi anafanya mkataba wa kichawi na majini kuharibu kila juhudi na harakati za kila mtu wanayemuonea husuda.

Unaweza kufukuzwa kazi kila ukiipata bila sababu na hata kama unachapa kazi vizuri na hii inatokea jini anatumwa kwenye brain za wakubwa zako kwa njia ya radiation au coduction(mionzi na kusafirishwa kwenye damu). Haya majini yana elimu kubwa ya maumbile ya mwanadamu kuliko unavyodhania kwani yanajua sehemu za ubongo za kugusha na mtu akabadilisha fikra bila kutaka kama anayeendeshwa kwa remote.

Basi bosi ataendeshwa kiuchawi na wachawi miongoni mwa wafanyakazi na kufanya maamuzi kwa control mpaka watu wanashangaa kumbe yuko anaendeshwa na wachawi katika maamuzi ya kila siku.

Wewe unaweza ukawa una habari unachapaka kazi kwa uadilifu mkubwa lakini wenzako wanafanya uchawi usifanikiwe na bosi akuchukie au uharibu bila kujua na ufukuzwe kazi.

Biashara ya duka au yoyote utashangaa jirani watu wanajipanga na wanakubali kusuburi huduma kama za kwako yaani wewe una bidhaa kama ya jirani na nzuri na unayo kauli nzuri kwa wateja lakini wanahama kwako bila sababu na wengine hawafiki hata kuuliza na wanakubali kujipanga mstari kwa jirani bila kutambua kuwa muda wao unapotea na bidhaa ziko pengine kwa jirani.

Hii inatokana na kuweka madawa yenye kutunza majini kwenye mbele ya duka na biashara yake ili yawe yanarusha mionzi kila anayetokezea kwenye mlango mkuu wa soko au mbele ya duka lake asione pengine wala kufikiria kuuliza pengine na akifika pale anakuwa kama amezugwa na hata bei hasemi kupunguziwa na anaweza kusahau hata chenji yake kwasababu ya mashetani wa kijini yaliyowekwa kwenye biasha hiyo na washirikina kwa masharti magumu na mabaya yatakayomdhuru huyu aliyeweka mwenye kudhani ni msaada. Hii ni kufuru kubwa na ushirikina na ninashauri mtu asifanya na kama anafanya aache ila auze kwa uaminifu na ushirikiano na wateja Mungu atampa riziki ya halali na ya kutosha.

Kuna wanaowekewa mashetani wa kijini kwenye biashara yao, nyumbani, kazini, mashambani na sehemu muhimu ili waathiriwe katika juhudi zao za kupata mali.

Kwa tiba hii kuna mafuta yanaitwa powerful oil yametengenezwa kutoka na mimiea mitakatifu iliyotajwa kwenye Qur'an, injili, zaburi na taurati. Unajipaka mafuta, unamwaga sehemu husika kufukuza majini na nguvu zote za giza kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu mmoja aliyeumba kila kitu na yeye anao uwezo wa kila kitu.

Pata dawa iitwayo Powerful Oil na kabla ya kulala jipake mwili mzima na hii tabia itakoma na ukijipaka siku saba inaisha kwani mashetani hawatakuja tena kukusumbua ndotoni.

Madawa mengine

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.


 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL


HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO

3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.


Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment