Tuesday 29 April 2014

Dawa ya kupunguza uzito na mafuta mengi tumboni na mwilini

dawa hii ni mitishaamba isiyo na madhara, unatumia kwa kuchemsha na kunywa glass mara 2 kwa siku na unaharisha na tumbo linabakilikiwa halina mafuta na mgando wa hali yoyote kwenye kuta za utumbo wake.

Kuharisha kwenye ni kuandaa mishipa isiwe inatunza mafuta na kufanya mwili wote ufanye kazi vizuri bila kusababisha mafuta na mfumo wa chakuleta kuleta unene usio wa kawaida. baada ya hapo inabidi uangalie mlo wako na usiwe unakula mafuta mengi na kujitahidi kufanya mazoezi hata kutembea kwa week mara 3 dakikia 15 zinatosha. Pili baada ya dawa hiyo utakuwa unakunywa maji kabla ya nusu robo saa hujala na usiwe unakunywa maji ya baridi baada tu ya chakula, ni kusubiri anglau dak 30 ndo unywe maji.

Hii dawa ukisha kunywa baada ya masaa sita utahisi tumbo linasafishwa na kuanza kuharisha kwa kawaida na hata kama utakuwa una uchafu wa choo inayokaa baada ya kutoka kwa shida basi uchafu huu utatoka mara moja, si unajua kuna watu hawapati choo mpaka wanakunya choo kidogo kama mavi ya mbuzi mpaka wanapasua sehemu ya haja kubwa na hii inaathiri na kuleta bawasiri yaani kutoka sehemu ya ndani ya haja kubwa na kuninginia kwa muda kurudishwa kwa mkono au daktari kufanya operesheni na kansa inaweza kutokea.



Madawa mengine

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.


 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL


HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO

3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.


Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment