Friday 6 June 2014

namna ya kuishi na mume mkorofi

Kwanza wanaume upenda kujiona wao wana akili zaidi ya wanawake na upenda kupewa heshima na wake zao kiasi kwamba heshima hiyo ikikosa hujisikia anadharauliwa na kama hana pesa za kukizi mahitaji ya kila siku hapo ndo usema kumwambia mke wake kuwa unanidharau kwa sababu sina pesa au kwa sababu mimi sina elimu kama ya kwako na sababu nyingi tu za lawama.

Lakini ningependa kushauri wanawake wenye kupenda kuishi na mme yoyote mkorofi na mgomvi ni kufanya yafuatayo:

Kwanza mjue yapi hapendi na yapi anapenda, kama anapenda kuheshimiwa na kupewa sifa za kweli mpe
Kama hapendi makundi ya wanawake wambea mtaani basi achana na makundi hayo
Kama akikosa pesa anakuwa mbogo, jua akiwa hana pesa usimwambie mambo yasiyo ya lazima kama nguo za gharama, michango ya hiari au kubishana naye, subiri hali itengamae ndo mambo yasiyo ya lazima umwambie.
Kama anakuja nyumbani mapema kuwa unamuandalia anachopenda kama kinywaji juice, kahawa, chai au maziwa na kama karanga na vitu vya kutafuna vya kumfanya akili zake zitulie na kufanya kazi vizuri.
Akija nyumbani amekasirika muache kwanza na wewe usinune kama kulipiza kisasi kwani labda alipokuwa amegombana au amepasa hasara au hajauza mali na anayo mawazo mengi, akitulia baada ya kuoga na kula utaona mabadiliko lakini asipobadilika na akawa anajibu kwa ukali wewe mjibu kwa upole na hii ni kama maji yanavyozima moto kwani shari uanza kidogo na kukua kama mtajibizana na kubishana.

Asubuhi akiamka muandalie chai au kile anachotaka wewe ukiwa na furaha ya kawaida na yeye akitaka kukuuliza kitu msikilize na kumjibu au kufanya anachotaka kama kikiwa kinawezekana, ukizoea kutokuwa na visasi na kudharau gadhabu za watu wanaokuzunguka utakuwa na furaha kwani utaanza kujiuliza mbona fulani kaninunia au kakataa kunisalimia au kunisemeza kwani utakuwa na roho yenye utulivu na jitahidi kuwa na kazi ya kukufanya busy ili akili zako zisikae zinafikiria mabaya na yenye kukunyima raha na ikitokea mabaya ya kaja kichwani kama kawaida mabaya ndo uwaga yanajipendekeza kichwani unapokuwa umetulia. Jitahidi ukumbuke mazuri yaliyopita na unayotegemea ili uwe na furaha.

Mwanaume akiwa anapenda kuongea ovyo na kutukana wewe ukamwambia samahani na usiongeze neno na ukanyamaza basi na yeye ataongea na atakosa kichocheo na kuacha na akiona kila siku unamnyamazia basi tabia hii itapunguwa siku hadi siku.

Mwanamke yoyote kama hana shuguli ya kufanya ajitahidi awe na shughuli ya kujiajiri hata kama kulima mchicha au kufuga kuku angalau wachache ili awe busy na apate kipato chake na anaweza kuwa na biashara ya kuuza mapambo ya wanawake na urembo nyumbani kwake, ajifunze kusuka mitindo mizuri na katika mtaa wake aweze kuwataarifu wanawake kuwa anauka na hii anaweza kufanyia nyumbani kwake, akipata pesa ya ziada awe anatunza kidogo kidogo ili akuze mtaji na kufanya biashara mbali mbali.

Mwanamke akiwa na mradi wake mdogo itapunguza ugomvi na majibu mabaya kutoka kwa mwanaume mkorofi na mwanamke atakuwa anajiamini akiwa na kipato fulani.

Mwanaume asipobadilika na hali wewe umekuwa mpole jaribu kupata rafiki yake sana na yule rafiki unayejua kuwa anamheshimu ili umueleze tatizo na huyu rafiki yake atamueleza na hata kuwakutanisha akawashauri kama rafiki wa karibu, akishauri akawa habadiliki basi waone viongozi wa dini wenye busara na wao watatoa ushauri na wao akiwadharau, nenda kwa ndugu zake kama mama na baba wapo hai au jamaa wa karibu anaowaheshimu nao waeleze na ndugu wengi wana tabia ya kusikiliza upande mmoja hasa akitangulia kushitakia ndo wanagomba bila hata kujua chanzo, ikiwa pote pameshindikana basi omba talaka na mgawane mali kama zipo ili usije ukaugua presha kwani huyu anakuwa ni mwenye sababu ya kukufukuza au mlevi au mvuta bangi au mzinifu kwa hiyo anaona wewe silolote.

Talaka unaiomba kwa ushahidi wa hatua ulizofanya na mashahidi uliowapelekea tatizo wanakuwa wapo na viongozi wa dini na ndugu na jamaa hii inaonyesha ulivyo mwenye subira na muungwana.

Ikiwa una matatizo ya kiafya na hospitali umeangaika na bila kupata nafuu, njoo ofisini kwetu

Pata dawa iitwayo Powerful Oil na kabla ya kulala jipake mwili mzima na hii tabia itakoma na ukijipaka siku saba inaisha kwani mashetani hawatakuja tena kukusumbua ndotoni.

Madawa mengine

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.


 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL


HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO

3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.


Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment