Friday 6 June 2014

Namna ya kuishi na Amani moyoni mwako

Tunaposema amani tunaimanisha kuwa na utulivu wa moyoni hata ukiwa na matatizo ya kibinadamu kama wengine kwani hakuna mwanadamu asiyepata matatizo katika maisha yake.

Ukipata tatizo moyo ukosa utulivu na akili uwaza sana, je kuwaza kunaleta jibu la haraka? je unawaza jibu la tatizo? je tatizo linalo jibu? Sasa kama jibu na njia ya kupata jibu ipo basi tafakari bila paniki kwani tatizo haliwezi kukuua wala kukuangamiza ila wewe ukilibeba na ukakata tamaa basi waweza kupata stroke au kushtuka na kuzimia na hatimaye kifo cha shinikizo la damu.

Kwa hiyo tatizo halijakuua ila wewe umelibeba na presha ikapanda na ukapata stoke au mshtuko wa moyo na kufa.
Mfano umesababisha ajali na watu wakafa, hii ni ajali na wewe ukikamatwa ukawekwa ndani haufi kwa kuwekwa ndani ila unaweza kufa kwa kupaniki na kuogopa sana mpaka mishipa ya damu ikapasuka.
Kuishi na amani nikutambua tatizo na ukalipima kwa akili yako na uzoefu wako na kuwauliza wenye uzoefu na hali hiyo na wakakupa ushauri na wewe ukalinganisha na kupata la kufanya bila kupaniki, kuna watu wanajiua kwa kupaniki na ukifuatilia kujiua kwao ni paniki na akili kufunga uwezo wa kufikiri na mtu akaamua kujiua kwa kujinyonga au kunywa sumu. Tatizo lililomfanya ajiue kama lilivyo lisingemuua ila amani imekosa akapani na kujiua.

Mtu anaogopa kupokea simu ya mtu kwa sababu labda kuna kosa kafanya au anadaiwa au anaitwa kituo cha polisi na amani inamkosa kabisa na kuwa mwenye woga siku muda wote kwa kuogopa tukio lisilikuwa tayari kwake au pale alipo, mfano mtu anakudai na anapiga simu unaogopa kushika simu na mtu yuko mbali mpaka unazima simu na kukosa amani, je ukipokea simu ukamwambia sijapata nikipata nitakupa na umuombe akuombee ufanikiwe na hali sauti yake tu kwenye simu ndo unasikia, sasa unaogopa sauti yake na unakosa amani. Kuondoa woga ni kukabili kile unachoogopa na ukiwa na tatizo la kukufanya usiwe na amani basi likabili na utaanza kupata amani, kama mtu amekuudhi mwambie umeniudhi na nimekusamehe na kama mtu unamuogoga kwa sababu fulani nenda umuone ana kwa ana na muongee na hii itakuondolea wasi wasi na kukosa amani.

kama polisi wanakutafuta kwa kosa la kawaida siyo ukimbie ujifiche na ukose amani, wewe cha kufanya nenda kituoni uwaone na uongee nao na wakikuweka rumande huwezi kufa kwa sababu ya kuwekwa rumande wala presha haiwezi kupanda kwani utadhaminiwa na kuingia katika hatu ya kumaliza shida na hii inakufanya ujue kinachoendelea na utastukia unapata marafiki pale kituoni na kujua kuwa polisi na watu wa kulinda amani na wewe utaanza kuwa na amani kuliko kujificha na kukaa muda wote bila amani.
kwa hiyo ukiwa unakosa amani kwa sababu ya tatizo fulani basi hilo tatizo likabili kwa imani ya kulitatua na utakwa na amani hatua kwa hatua na hatimaye utazoea kutatua matatizo mazito zaidi kwa amani na utulivu.
Jitahidi kusaidia wenye shida kadiri uwezavyo, samehe wanaokukosea na hakikisha unaiambia nafsi yako kuwa nimemsamehe fulani na ikitokea ukamuona ukakumbuka alivyokuudhi iambiea nafsi yako taratibu kuwa huyu nilisha msamehe na sitaki awe kichwani mwangu, na hii ikitokea mara kwa mara wewe ni kusema nafsi nilishamsamehe sasa nafsi unataka kunirudisha yaliyopita, iambie itazoea na kumsahau na jitahidi kuwa mkweli kwa kila jambo linalokulazimu kusema ua kufanya.

Muda wote lazimisha fikira zako ziwe kwenye kisima cha matumaini na ufanisi kiasi kwamba uwe na mawazo chanya (+) na ufukuze kabisa mawazo hasi(-) kama mwanga unavyofukuza giza chumbani ukiwasha taa au umeme uliokatika ukirudi ghafla kwenye chumba chenye giza.

Jitahidi kufanya shuguli yoyote yenye kukuboresha na ikiwa muda huo una ni bora ukatembee sehemu zenye maua au mandhari ya kijani(green) na utumie dakika 15 kuangalia mandhari nzuri unayojua iko karibu na iko mbali tembea uende kuiangalia ili fikira zipate nguvu mpya na hali ya utulivu. tumia dakika 5 kuangalia mawingu kama ni usiku angalia nyota na mbingu kwa ujumla na upate fikira za maumbile na hii itakufanya msongo wa mawazo kupungua na baadaye roho kuwa na nguvu mpya na wewe kujisikia mwili umepata nguvu mpya.

Jitahidi kuongeza kipato kadiri uwezavya kwa kubuni njia za uzalishaji mbali mbali ili moyo uwe na matumaini kwani pesa au uchumi wa mtu ni kama damu katika uhai kwani mtu akiwa ana pesa na mahitaji yanamkabili uwaga anakosa amani na kujisikia hana nguvu, lakini pesa ikiingia upata amani na nguvu mpya na kutembea akiwa anajiamini. Kwa hiyo uchumi unachangia sana kuleta amani katika nafsi ya mtu na watu wanaomzunguka kama mke, watoto na jamaa.
Pata dawa iitwayo Powerful Oil na kabla ya kulala jipake mwili mzima na hii tabia itakoma na ukijipaka siku saba inaisha kwani mashetani hawatakuja tena kukusumbua ndotoni.

Madawa mengine

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.


 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL


HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO

3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.
Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment