Tuesday 29 April 2014

Majini yamfuata mwanafunzi wa Chuo kutoka kanda ya ziwa mpaka DSM anakosomea

Jambo nilisilo la kawaida binti mdogo anayesoma chuo kimoja hapa DSM alianguka ghafla akiwa na mwenzake na tulipoitwa tukakuta anapiga kelele na kusema naungua na kumbe yalikuwa majini yanalalamika.

Tulipouliza mwenzake akasema alikuwa anasikiliza radio FM iliyokuwa inasoma Qur'an na ndipo aliachia simu akaanza kutetemeka na kuanguka na ndipo sauti ya tunaungua ikaanza kutoka kupitia kwa binti huyo.

Ajabu iliyotokea tukachukua simu tukaweka kisomo cha Qur'an hicho hicho baada ya robo yakasema tunateseka na huyu aliyetutuma ni mnafiki ngoja tutarudi tumkomeshe adabu, basi nikauliza nikasema nani huyo yakasema hatusemi na baadaye ikasogezwa sikioni hiyo Qur'an ndipo yakapiga kelele tunaungua jamani na ngoja tuseme ndipo yakasema tumetoka mbali kumuua kwasababu anasoma na anampenda mama yake na atamsaidia akishafanikiwa.

Sasa nikayaambia ondoka mara moja hapa yakasema mtupe nauli na nikayaambia nauli iliyowaleta mlipoitoa ndo mtoe tena ya kuwapeleka, na ndipo mhusika mmoja wapo akajitaja mimi fulani na mama yake wa kambo na nimepata hasara lengo la kumloga ili afe limekwama na gharama nimetumia hii ni hasara na ni hasara ya pili ya kwanza nilimpa dawa kwenye chakula alipokuja kunitembelea na akaharisha madawa yote nayo ikawa hasara na sasa hasara ya pili.

Majini yakasema tunasema na ngoja hata huyu mwingine mnafiki tutamuonyesha mtoto hana shida na tumeshindwa kwa sabababu anasali, anakaa na udhu muda mwingi anajisitiri. Wakati wa kulala anaomba Mungu amkinge na shari sasa usiku tunajitahidi kumchukua ili tumdhuru na juzi tumemchanja madawa, loo! tukastuka na kumuuliza mwenzake akasema juzi alijikuta amechanjwa chale tatu tumboni na kumuonyesha mwenzake.

Sasa mnaona sayansi ya ushirikina ilivyo mbaya sana na ya ajabu kwa mtu ambaye hajaguswa wala hajaona hawezi kuamini, sasa mtu yuko DSM na hawa wachawi wako Kanda ya ziwa na wanatuma uchawi kwa kuletwa majini ili kumdhuru mtoto anayesoma chuo, baada ya kumtumia Mpesa ili asome vizuri na awe na msaada kwenye jamii na familia hawa wanatuma majini yamdhuru na wote ni jamaa wa karibu.

Siku hizi wanafunzi wengi wenye uwezo mkubwa kuanzia primary mpaka chuo kikuu wakiwa kwao wanaishi bila amani na hata jamaa wakiwapa chai au chakula wanahofu kula kwa amani kwani matukio ya wanafunzi shuleni na vyuoni kuvurugwa na uchawi ni jambo la kawaida kama kujiua bila sababu, kutoona ubaoni au kwenye vitabu au kupigwa ugonjwa ghafla wakati wa mitihani na kukata tamaa ya kusoma wakaacha.

Uchunguzi ukifanyika kwa kutumia vipimo vya kisasa magonjwa hayaonekani na mwanafunzi utoka kwa dakatari huyu na kwenda kwa mwingine mpaka mwaka wa masomo unaisha na anarudia baada ya kupona kama atajua chanzo na kupata tiba sahihi, sasa hapa kuna hasara mara mbili muda na pesa.
Sasa tujue tatizo na kuwa makini na kumtegemea Mungu sana ili awe mlinzi katika maisha yetu ya kila siku, na pindi tukiona magonjwa yasiyo ya kawaida basi tutafute kwa makini tiba sahihi kwa umakini sana kwani siku hizi utapeli umekuwa mwingi hasa miji mikubwa kwa wanaojiita waganga na huku wanachanganya na ushirikina na kuwadanganya watu kwa kuwatoza fedha nyingi bila huruma.

Kama  unaumwa magonjwa ya kuashiria kuwa umelogwa, mfano kuota ndoto za kutisha mara kwa mara, kuhisi vitu vinatembea mwilini, miguu kuwaka moto, kichwa kuwa kizito mara kwa mara, kuona baadhi ya mwili au viungo vinatingisha mara kwa mara, kuota unafanya mapenzi na mtu au jitu la kutisha usiku mara kwa mara, kuota nyoka mara kwa mara, kukosa nguvu kila mara na ukipima malaria huna, typhoid huna, amoeba huna na kwa ujumla afya yako unapopima hupati ugonjwa lakiniunajihisi huna nguvu na mood yakufanya kazi na unapenda ukae peke yako na wakati mwingine hata watu wanakuchukia bila sabababu.

Dawa hii imefanyiwa utafiti kwa muda wa miaka 5 na sasa watu wengi wameomba ipatikane kwa urahisi kwani ni madawa 32 ya mitishamba kutoka Africa, Asia na Mashariki ya kati na kuipata wakati mmoja na kuisaga ni zoezi gumu kwa watu wengine ambao ndo wengi.

Mwanzoni tulikuwa tunawaandikia majina wanatafuta maduka ya mitishamba na dawa za asili ya asia na middle east wanapata baadhi na wakati mwingine muuzaji anashindwa kuzitambua na anawauzia isiyokuwa yenyewe kwa majina ya madawa hayo.

Sasa tumezitafuta wenyewe na kuzisaga na kupaki kwenye chupa ya plasitic unga wake na ni tayari kwa maumizi.

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.

Powerful Oil ni Mafuta yenye tiba ya:

Kuondoa Nguvu za giza kwenye mwili wako, nuksi na mikosi yenye chanzo cha uchawi na hali ya kutoweza inatoweka ukiisha paka kwani unakuwa na hali isiyo ya kawaida ya kimori na kufanya mwili uwe na hali ya kuchangamka. Kufukuza majini kwenye mwili na kuondoa ganzi na mwili kuumwa viungo na kuhisi vitu vinatembea mwilini. Kuondoa hali ya woga na kutojiamini na kukata tamaa, maumivu ya kichwa na viungo vya mwili.
Mafuta haya yanatokana na mimea mchanganyiko iliyotajwa katika vitabu vitakatifu vya Injili, Taurati, Zaburi na Qur;an

Unajipaka kila siku kwa siku saba asubuhi na jioni na Kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee mwenye uwezo utaona mabadiliko makubwa kwenye mwili wako, roho na hata utendaji kazi wako wa kila siku.

Ndoto za kutisha na kuota unalishwa vitu, unafanya mapenzi na watu usiowajua na wale unaowajua, kuota unapaa, kuota uko makaburini, wachawi kuingia nyumbani kwako na kukuchanja yote haya ukiisha jipaka na kumimina kidogo kwenye madirisha, milango, pembe za nyumba na kuzungusha nyumba yako yatakoma na utalala kwa amani. watoto wadogo wapake nao kwani kulia usiku na kustuka mara nyingi ni nguvu za giza za kishirikina.


 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. TIBA MBADALA
  4. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL


HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO


3. Powerful Soap ni sabuni maalum iliyoandaliwa kwa kuchanganya dawa zenye nguvu kuondoa athari za uchawi na majini kama mikosi na nuksi

4.SAFISHA

 
 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM VINGUGUTI. UKIFIKA BUGURUNI SHEL SHUKA NA UPANDE MAGARI YA KWENDA VINGUGUTI , TELEMKA KITUO CHA POLISI KIITWACHO MTAKUJA. OFISI YETU IPO KARIBU NA NEW KINYUMA HOTEL.
UKIPANDA PIKIPIKI KUTOKA BUGURUNI SHEL NI SH 1,500/= TU KUFIKA OFISINI.

KWA MAELEZO ZAIDI TUMIA MAWASILIANO HAYA:


+255712708655/+255713916386

Sheikh wakusoma kisomo cha Ruqya na Dua. Simu.+255 785708655
Email: tibaherbs@gmail.com

 
Kama ni mmojawapo una dalili hizi:

kuhisi vitu vinatembea mwilini
Miguu kuwaka moto
baadhi ya viuongo kufa bila sababu ya kitaalamu
kuhisi kila mara huna nguvu na malaria wala typhoid ukima mara kadhaa haipo
Unabanwa kifua na hali hauna athma au tatizo linatokea na kurudi
Kupata hedhi kwa shida au mfululizo bila kukoma
Kuumwa chini ya kitovu na ukipima hana minyoo kabisa
Kuhisi tumbo lina vitu vinanguruma na kuviringika kama unayomimba hii ni kwa wanawanake na wanaume
Kutoka mimba mara kwa mara bila sababu za kitaalamu
Kuota ndoto za kutisha
Kuota unafanya mapenzi na watu au mtu au mnyama
Kutingisha mwili wakati unakaribia kusinzia na unastuka
Kuota nyoka au paka anakuuma mara kwa mara
Kuota umebeba watoto
Kuota unapewa nyama au chakula
Kuota upo msituni mara kwa mara
Kuota ajali mara kwa mara
Kuota unaongea na watu waliokufa
Kuota unajisaidia chooni au uko chooni
Kuota uko makaburini
kuchukiwa na kila mtu bila sababu hasa mke au mme, ndugu, bosi wako kazini, wateja
Kukuta umechanjwa usiku na unayo mikwaruzo mikubwa au midogo
Kukata tamaa kila mara na kutaka kujiua
Kutoona ubaoni na ukiwa nje unaona vizuri
Kuwa mvivu bila sababu na ulikuwa mchapa kazi uko nyuma.

dalili hizi mara nyingi ni zakuwa umelogwa au una majini wanakusumbua ili usitulie na kuwa na Amani.

No comments:

Post a Comment