Tuesday 29 April 2014

Uchawi umeanza Muda mrefu Ulaya na Sasa wasambaa kwa kasi ya msaada wa Mtandao wa mawasiliano

The origins of the accusations against witches in the later Middle Ages are all present in earlier trials against heretics, especially the claims of secret meetings, orgies, and the consumption of babies. From the 17th century, the idea of a pact became important—one could be possessed by the Devil and not responsible for one's actions, but to be a witch, one had to sign a pact with the Devil, often to worship him, which was heresy and meant damnation.

The Malleus Maleficarum was influential in 17th-century European witch trials
By 1300, the elements were in place for a witch hunt, and for the next century and a half fear of witches spread gradually throughout Europe. At the end of the Middle Ages (about 1450), the fear became a craze which lasted more than 200 years. As the notion spread that all magic involved a pact with the Devil, legal sanctions against witchcraft grew harsher. Each new conviction reinforced the beliefs in the methods (torture and pointed interrogation) being used to solicit confessions and in the list of accusations to which these "witches" confessed. The rise of the witch-craze was concurrent with the rise of Renaissance magic in the great humanists of the time (this was called High Magic, and the Neoplatonists and Aristotelians that practised it took pains to insist that it was wise and benevolent and nothing like Witchcraft), which helped abet the rise of the craze. Witchcraft was held to be the worst of heresies, and early skepticism slowly faded from view almost entirely.


Powerful Oil na Powerful Soap  tiba ya:

Kuondoa Nguvu za giza kwenye mwili wako, nuksi na mikosi yenye chanzo cha uchawi na hali ya kutoweza inatoweka ukiisha paka kwani unakuwa na hali isiyo ya kawaida ya kimori na kufanya mwili uwe na hali ya kuchangamka. Kufukuza majini kwenye mwili na kuondoa ganzi na mwili kuumwa viungo na kuhisi vitu vinatembea mwilini. Kuondoa hali ya woga na kutojiamini na kukata tamaa, maumivu ya kichwa na viungo vya mwili.
Mafuta haya yanatokana na mimea mchanganyiko iliyotajwa katika vitabu vitakatifu vya Injili, Taurati, Zaburi na Qur;an

Unajipaka kila siku kwa siku saba asubuhi na jioni na Kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee mwenye uwezo utaona mabadiliko makubwa kwenye mwili wako, roho na hata utendaji kazi wako wa kila siku.

Ndoto za kutisha na kuota unalishwa vitu, unafanya mapenzi na watu usiowajua na wale unaowajua, kuota unapaa, kuota uko makaburini, wachawi kuingia nyumbani kwako na kukuchanja yote haya ukiisha jipaka na kumimina kidogo kwenye madirisha, milango, pembe za nyumba na kuzungusha nyumba yako yatakoma na utalala kwa amani. watoto wadogo wapake nao kwani kulia usiku na kustuka mara nyingi ni nguvu za giza za kishirikina.

Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment