Sunday 20 April 2014

Tabia za wachawi na washirikina

 Tabia kuu za wachawi ni hizi:
  • Kupenda kujisifia yaliyowapata waliowahi kuwaudhi kama uliza fulani kilichompata alivyonidharau
  • Kutambikia mara kwa mara hasa mwezi unapoandama na kujifanya wanachinja na kuwapa watu nyama na wakati hawana dalili ya kutoa sadaka mara kwa mara
  • Kuwakuta wako uchi nje na wakati mwingine kumpita ukageuka ukakuta anakufanyia viini macho kama kukuema kwa kutoa meno na mikono  nyuma yako ukipita
  • Kufurahi wenzao wanapopata matatizo na kusema bado atakoma na ukimuuliza kwa nini hatoi sababu
  • Kutopenda mtu aliye na neema wasalimiane na wakati mwingine uangalia pembeni kama hajamuona na ukimsalimia hataki kutoa sauti anajifanya hajakusikia na hajakuona na ukipita ukuchungulia na kukuangalia kwa dharau na chuki wakati hamjawahi kugombana
  • Kumuota mara kwa mara mnagombana na anakulisha vitu usivyotaka au mko pamoja msituni au nyikani au mko wote kwake au mnapika na kula nyama usizojua zimetoka wapi
  • Huyo mtu kumuota anakuniga mara kadhaa na anakuonya kuwa utakoma kwenye ndoto
  • Kupenda kuvaa mahirizi muda wote na kumuona kila jirani au mgeni kwenye mtaa ni mchawi na kumtangaza kwa watu kuwa huyu mchawi, na fulani mchawi, na kutangaza watu kila mara kwa ubaya
  • Kupenda sana kwenda kwa waganga washirkina hata kama haumwi na kushawishi marafiki zake waende kwa waganga washirikina hata bila kuumwa na kuwaambia utaishi vipi hapa bila kinga kwako, watoto na hata shuguli zako, anashawishi mtu ampeleke kwa waganga washirikina hata mtu akiwa hataki atampa maneno ya kumtisha kwa mifano ya kutisha
  • Ukiongea mambo ya Kiimani hataki kusikiliza na hupinga uwezo wa Mungu na mwingine usema nani alishawahi kufa na kurudi au kuona mnayosema na akaja akatwabia
  • Mwingine ukashifu viongozi wa dini na kupinga imani ya kuamini mafundisho wanayotoa hata kama yatakuwa mazuri.
  • Kuzunguka nyumba za watu usiku wakiwa uchi mpaka wanakamatwa wengine wakiwa uchi wa mnyama.
  • Kwenda makaburini usiku wa manane na kukaa huko kwa matambiko
  • Kula nyama za watu waliokufa
  • Kuingilia watoto wao au kufanya mapenzi na watoto au wazazi wao kwa nguvu na vitisho na hii ni kutaka kumridhisha shetani lucifer na kundi lake ili apewe nguvu kubwa kwa msaada wa mashetani yaliyofurahi kwa kumchukiza Mungu sana na kuyatii mashetani.
  • Kuongea kwa kujiamini hata kama hana pesa, cheo wala nguvu za kiafya kuwa: Nitamuonyesha adabu, ataniona mimi ni nani, nampa week moja ataona, subiri nitamkomesha na hatarudia tena, sasa jiulize hana pesa, hana cheo, hana hata nguvu za kubeba debe la mahindi sasa atamkomeshaje asiyemtaka au aliyemkosea? Kiburi chote ni nguvu za shetani anazojua yeye kuwa yuko nazo. mpaka vitoto vidogo mika saba hadi kumi vikisha rithishwa uchawi vinakuwa na kiburi kama hicho cha kusema nitamuonyesha na atanitambua na ukifuatilia kinakuwa kinasema mwalimu wake, baba yake, kaka, jirani au dada au jirani aliyekikanya kitabia.

Serikali ya Tanzania inautambua uwepo wa uchawi kisheria. Hii ni kweli kwa kuwa Sheria ya kudhibiti uchawi (Witchcraft Supression Act) inampa mamlaka Mkuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa au Rais kumpeleka uhamishoni mtuhumiwa wa uchawi ambao umethibitika. Hata hivyo, sheria hiyo hiyo inalifanya tendo la kumtuhumu mtu kwamba ni mchawi kuwa ni kosa la jinai. Huu ni mkanganyiko wa kisheria unaohitaji kufanyiwa kazi.


 wachawi wakiwa chini ya ulinzi baada ya kudondoka kutoka angani

Kushoto Moto wa wachawi usiku kwenye mikutano yao.
 Juu ni  mchawi alikamatwa Zimbabwe akifanya uchawi kwenye nyumba za jirani mjini Harare

Hizi hapa ni picha za wazungu wakifanya uchawi chango chake ni mitandao ya kichawi ulaya, mfagio ni ndege yao ya kichawi uko ulaya na wanapaa kwa nguvu za giza na wakiwa uchi wa mnyama na inaitwa broom for witches, hii sasa hivi Ulaya wanaona kuabudu Lucifer shetani ndo kasi mpya kwa vijana na watu mbali mbali wakiwemo wasomi wanajifunza uchawi na sasa wanatoa diploma na digrii za uchawi baadhi ya vyuo ulaya, samahani sitatajwa hapa ili nisiwape watu wenye mlango wa kupenda hayo kupitia na kuanza kusumbua watu.

Jua Mungu mmoja ndo wa kuabudu na hii itakufanya uwe na Amani katika maisha kuliko kuabudu shatani asiyekuwa na huruma kabisa na yeye ni mwenye kupoteza watu na adui mkubwa wa mwanadamu kwani yeye ukikufuru Mungu sana anakuwa rafiki yako sana. Wachawi kupata nguvu za kupaa, kuroga na mengine mengi machafu ni kuwa umuabudu shetani na kumkufuru Mungu sana ndipo upata msaada wa shetani na jeshi lake. mchawi akikutana na Mcha Mungu wa kweli uwa anashindwa kumdhuru na mashetani hushindwa na hatimaye kuangamia kwani jeshi la Mungu lina nguvu kuliko la shetani.
 Huyo mama wa kizungu yuko anamchezea shetani msituni kama matambiko yao kishirikina kumfanya shetani ili awape nguvu ya ziada kwa kupepeta sehemu zake za sirihuku akiwa uchi wa mnyama kama moja wapo ya kumfurahisha shetani ili awe tayari kumpa nguvu za giza. Jamani dunia imefikia pabaya tunaowaita wastaarabu sasa wanakuwa vituko.

 Zote hizi na matambiko pia na mafuvu ni Shuguli za kishetani na wanafanya sana sasa ulaya na ukisikia hali ndo hii na sasa kwenye sehemu nyingi uchawi na ushirikina ni kama fashion na kwa uwazi sasa Ulaya wanauza mpaka vidoli vyenye nguvu za giza kwenye mtandao na wanasafirisha kwa wateja kama bidhaa nyingine, ushahidi andika kwenye google usech neno hili: voovo doll to purchase utaona makampuni mengi yanatokea fungua moja uone hata bei zake. Watu wajinga wananunua na kuweka kwenye magali, majumbani na maofisini kumbe wanaweka ngome ya shetani na kundi lake kama majni na mapepo, hatimaye yake nikupata matatizo makubwa mbeleni. Shetani si rafiki wa muda wote na hana huruma itafika siku akugeuke na anawapatia washirikina kazi ngumu kama kwenda uchi usiku, msituni ukiwa uchi kama huyo mama mwenye jani anapepea sehemu zake za siri ili shetani afurahi.

Yote haya ni mavazi ya matambiko ya kichawi na unaona mafuvu yana mishumaa pembeni

 Hata hapa wanafanya matambiko ya kishetani, je hii utasema uchawi haupo, utafiti unaonyesha upo na unakuwa sana
Dawa hii imefanyiwa utafiti kwa muda wa miaka 5 na sasa watu wengi wameomba ipatikane kwa urahisi kwani ni madawa 32 ya mitishamba kutoka Africa, Asia na Mashariki ya kati na kuipata wakati mmoja na kuisaga ni zoezi gumu kwa watu wengine ambao ndo wengi.

Mwanzoni tulikuwa tunawaandikia majina wanatafuta maduka ya mitishamba na dawa za asili ya asia na middle east wanapata baadhi na wakati mwingine muuzaji anashindwa kuzitambua na anawauzia isiyokuwa yenyewe kwa majina ya madawa hayo.

Sasa tumezitafuta wenyewe na kuzisaga na kupaki kwenye chupa ya plasitic unga wake na ni tayari kwa maumizi.

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.

Powerful Oil na SOAP ni tiba ya:

Kuondoa Nguvu za giza kwenye mwili wako, nuksi na mikosi yenye chanzo cha uchawi na hali ya kutoweza inatoweka ukiisha paka kwani unakuwa na hali isiyo ya kawaida ya kimori na kufanya mwili uwe na hali ya kuchangamka. Kufukuza majini kwenye mwili na kuondoa ganzi na mwili kuumwa viungo na kuhisi vitu vinatembea mwilini. Kuondoa hali ya woga na kutojiamini na kukata tamaa, maumivu ya kichwa na viungo vya mwili.
Mafuta haya yanatokana na mimea mchanganyiko iliyotajwa katika vitabu vitakatifu vya Injili, Taurati, Zaburi na Qur;an

Unajipaka kila siku kwa siku saba asubuhi na jioni na Kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee mwenye uwezo utaona mabadiliko makubwa kwenye mwili wako, roho na hata utendaji kazi wako wa kila siku.

Ndoto za kutisha na kuota unalishwa vitu, unafanya mapenzi na watu usiowajua na wale unaowajua, kuota unapaa, kuota uko makaburini, wachawi kuingia nyumbani kwako na kukuchanja yote haya ukiisha jipaka na kumimina kidogo kwenye madirisha, milango, pembe za nyumba na kuzungusha nyumba yako yatakoma na utalala kwa amani. watoto wadogo wapake nao kwani kulia usiku na kustuka mara nyingi ni nguvu za giza za kishirikina.


 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. TIBA MBADALA
  4. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL


HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO



4.SAFISHA

 
 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.

Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342


Kama ni mmojawapo una dalili hizi:

kuhisi vitu vinatembea mwilini
Miguu kuwaka moto
baadhi ya viuongo kufa bila sababu ya kitaalamu
kuhisi kila mara huna nguvu na malaria wala typhoid ukima mara kadhaa haipo
Unabanwa kifua na hali hauna athma au tatizo linatokea na kurudi
Kupata hedhi kwa shida au mfululizo bila kukoma
Kuumwa chini ya kitovu na ukipima hana minyoo kabisa
Kuhisi tumbo lina vitu vinanguruma na kuviringika kama unayomimba hii ni kwa wanawanake na wanaume
Kutoka mimba mara kwa mara bila sababu za kitaalamu
Kuota ndoto za kutisha
Kuota unafanya mapenzi na watu au mtu au mnyama
Kutingisha mwili wakati unakaribia kusinzia na unastuka
Kuota nyoka au paka anakuuma mara kwa mara
Kuota umebeba watoto
Kuota unapewa nyama au chakula
Kuota upo msituni mara kwa mara
Kuota ajali mara kwa mara
Kuota unaongea na watu waliokufa
Kuota unajisaidia chooni au uko chooni
Kuota uko makaburini
kuchukiwa na kila mtu bila sababu hasa mke au mme, ndugu, bosi wako kazini, wateja
Kukuta umechanjwa usiku na unayo mikwaruzo mikubwa au midogo
Kukata tamaa kila mara na kutaka kujiua
Kutoona ubaoni na ukiwa nje unaona vizuri
Kuwa mvivu bila sababu na ulikuwa mchapa kazi uko nyuma.

dalili hizi mara nyingi ni zakuwa umelogwa au una majini wanakusumbua ili usitulie na kuwa na Amani.

4 comments:

  1. Naitwa bwana Elias mwita n mkaazi wa dar es salaam naomba kukutana na nyie mnisaidie pia najua n mapenzi ya mungu kunifanikiisha kukutana na nyie leo humu naomba niwe ushuhida

    ReplyDelete
  2. Jaman mbona namba yenu haipatikani

    ReplyDelete
  3. Naombeni msaada wenu Kama mtaweza
    Jina langu n Elias mwita

    ReplyDelete
  4. Namba yangu ya simu n +255683771860/0753107784

    ReplyDelete