Upanga wa wachawi na majini
Baadhi ya Waganga wanadanganya watu wenye kuathiriwa na ucahwi na majini na kuwatoza pesa hata bila kupona na hata wakipona wanarudiwa tena na wakirudi wanawaomba pesa tena na inakuwa ajira ya waganga siku hizi. Sasa kitabu hiki kina maelezo yote ya kujitibu mwenyewe kama umelogwa au una majini yanakusumbua au usiku unalala bila kutulia na nyumba yako inavurugwa na wachawi basi kila kanuni zipo kwenye kitabu hiki.
Unatuma Mpesa Voda au Airtel Tanzania, 10,000/= za Tanzania na kisha unatumiwa kitabu na unadownload mwenyewe na kuprint au kusomea kwenye flash au Cd kwenye kompyuta.
Serikali ya Tanzania inautambua uwepo wa uchawi kisheria. Hii ni kweli kwa kuwa Sheria ya kudhibiti uchawi (Witchcraft Supression Act) inampa mamlaka Mkuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa au Rais kumpeleka uhamishoni mtuhumiwa wa uchawi ambao umethibitika. Hata hivyo, sheria hiyo hiyo inalifanya tendo la kumtuhumu mtu kwamba ni mchawi kuwa ni kosa la jinai. Huu ni mkanganyiko wa kisheria unaohitaji kufanyiwa kazi.
wachawi wakiwa chini ya ulinzi baada ya kudondoka kutoka angani
Kushoto Moto wa wachawi usiku kwenye mikutano yao.
Juu ni mchawi alikamatwa Zimbabwe akifanya uchawi kwenye nyumba za jirani mjini Harare
Hizi
hapa ni picha za wazungu wakifanya uchawi chango chake ni mitandao ya
kichawi ulaya, mfagio ni ndege yao ya kichawi uko ulaya na wanapaa kwa
nguvu za giza na wakiwa uchi wa mnyama na inaitwa broom for witches, hii
sasa hivi Ulaya wanaona kuabudu Lucifer shetani ndo kasi mpya kwa
vijana na watu mbali mbali wakiwemo wasomi wanajifunza uchawi na sasa
wanatoa diploma na digrii za uchawi baadhi ya vyuo ulaya, samahani
sitatajwa hapa ili nisiwape watu wenye mlango wa kupenda hayo kupitia na
kuanza kusumbua watu.
Jua
Mungu mmoja ndo wa kuabudu na hii itakufanya uwe na Amani katika maisha
kuliko kuabudu shatani asiyekuwa na huruma kabisa na yeye ni mwenye
kupoteza watu na adui mkubwa wa mwanadamu kwani yeye ukikufuru Mungu
sana anakuwa rafiki yako sana. Wachawi kupata nguvu za kupaa, kuroga na
mengine mengi machafu ni kuwa umuabudu shetani na kumkufuru Mungu sana
ndipo upata msaada wa shetani na jeshi lake. mchawi akikutana na Mcha
Mungu wa kweli uwa anashindwa kumdhuru na mashetani hushindwa na
hatimaye kuangamia kwani jeshi la Mungu lina nguvu kuliko la shetani.
Huyo
mama wa kizungu yuko anamchezea shetani msituni kama matambiko yao
kishirikina kumfanya shetani ili awape nguvu ya ziada kwa kupepeta
sehemu zake za sirihuku akiwa uchi wa mnyama kama moja wapo ya
kumfurahisha shetani ili awe tayari kumpa nguvu za giza. Jamani dunia
imefikia pabaya tunaowaita wastaarabu sasa wanakuwa vituko.Zote hizi na matambiko pia na mafuvu ni Shuguli za kishetani na wanafanya sana sasa ulaya na ukisikia hali ndo hii na sasa kwenye sehemu nyingi uchawi na ushirikina ni kama fashion na kwa uwazi sasa Ulaya wanauza mpaka vidoli vyenye nguvu za giza kwenye mtandao na wanasafirisha kwa wateja kama bidhaa nyingine, ushahidi andika kwenye google usech neno hili: voovo doll to purchase utaona makampuni mengi yanatokea fungua moja uone hata bei zake. Watu wajinga wananunua na kuweka kwenye magali, majumbani na maofisini kumbe wanaweka ngome ya shetani na kundi lake kama majni na mapepo, hatimaye yake nikupata matatizo makubwa mbeleni. Shetani si rafiki wa muda wote na hana huruma itafika siku akugeuke na anawapatia washirikina kazi ngumu kama kwenda uchi usiku, msituni ukiwa uchi kama huyo mama mwenye jani anapepea sehemu zake za siri ili shetani afurahi.
Yote haya ni mavazi ya matambiko ya kichawi na unaona mafuvu yana mishumaa pembeni
Hata hapa wanafanya matambiko ya kishetani, je hii utasema uchawi haupo, utafiti unaonyesha upo na unakuwa sana
Dawa hii imefanyiwa utafiti kwa muda wa miaka 5 na sasa watu wengi wameomba ipatikane kwa urahisi kwani ni madawa 32 ya mitishamba kutoka Africa, Asia na Mashariki ya kati na kuipata wakati mmoja na kuisaga ni zoezi gumu kwa watu wengine ambao ndo wengi.
Mwanzoni tulikuwa tunawaandikia majina wanatafuta maduka ya mitishamba na dawa za asili ya asia na middle east wanapata baadhi na wakati mwingine muuzaji anashindwa kuzitambua na anawauzia isiyokuwa yenyewe kwa majina ya madawa hayo.
Sasa tumezitafuta wenyewe na kuzisaga na kupaki kwenye chupa ya plasitic unga wake na ni tayari kwa maumizi.
Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.
Powerful Oil ni Mafuta yenye tiba ya:
Kuondoa
Nguvu za giza kwenye mwili wako, nuksi na mikosi yenye chanzo cha
uchawi na hali ya kutoweza inatoweka ukiisha paka kwani unakuwa na hali
isiyo ya kawaida ya kimori na kufanya mwili uwe na hali ya kuchangamka.
Kufukuza majini kwenye mwili na kuondoa ganzi na mwili kuumwa viungo na
kuhisi vitu vinatembea mwilini. Kuondoa hali ya woga na kutojiamini na
kukata tamaa, maumivu ya kichwa na viungo vya mwili.
Mafuta haya yanatokana na mimea mchanganyiko iliyotajwa katika vitabu vitakatifu vya Injili, Taurati, Zaburi na Qur;an
Unajipaka
kila siku kwa siku saba asubuhi na jioni na Kwa uwezo wa Mungu mmoja wa
pekee mwenye uwezo utaona mabadiliko makubwa kwenye mwili wako, roho na
hata utendaji kazi wako wa kila siku.
MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
- POWERFUL OIL
- MT32
- TIBA MBADALA
- SAFISHA
MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA.
1.POWERFUL OIL
HAYA MAFUTA YANATIBU:
- KUONDOA NGUVU ZA GIZA
- KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
- KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
- KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
- KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
- KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
- KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
- UCHAWI ULIOKO MWILINI
- KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
- KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO
- KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
- MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
- KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
- KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO
3.Powerful Soap-Sabuni yenye dawa za kuondoa athari uchawi kama mikosi na nuksi, pia inatibu fangasi na magonjwa ya ngozi
4.SAFISHA
Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).
Sasa dawa hii ina faida hizi:
- Kupunguza uzito
- Kuondoa uchafu tumboni
- Kusaidia kupata choo
- Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
- Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.
Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com
+255762053174/+255621870342
+255762053174/+255621870342
Kama ni mmojawapo una dalili hizi:
kuhisi vitu vinatembea mwilini
Miguu kuwaka moto
baadhi ya viuongo kufa bila sababu ya kitaalamu
kuhisi kila mara huna nguvu na malaria wala typhoid ukima mara kadhaa haipo
Unabanwa kifua na hali hauna athma au tatizo linatokea na kurudi
Kupata hedhi kwa shida au mfululizo bila kukoma
Kuumwa chini ya kitovu na ukipima hana minyoo kabisa
Kuhisi tumbo lina vitu vinanguruma na kuviringika kama unayomimba hii ni kwa wanawanake na wanaume
Kutoka mimba mara kwa mara bila sababu za kitaalamu
Kuota ndoto za kutisha
Kuota unafanya mapenzi na watu au mtu au mnyama
Kutingisha mwili wakati unakaribia kusinzia na unastuka
Kuota nyoka au paka anakuuma mara kwa mara
Kuota umebeba watoto
Kuota unapewa nyama au chakula
Kuota upo msituni mara kwa mara
Kuota ajali mara kwa mara
Kuota unaongea na watu waliokufa
Kuota unajisaidia chooni au uko chooni
Kuota uko makaburini
kuchukiwa na kila mtu bila sababu hasa mke au mme, ndugu, bosi wako kazini, wateja
Kukuta umechanjwa usiku na unayo mikwaruzo mikubwa au midogo
Kukata tamaa kila mara na kutaka kujiua
Kutoona ubaoni na ukiwa nje unaona vizuri
Kuwa mvivu bila sababu na ulikuwa mchapa kazi uko nyuma.
dalili hizi mara nyingi ni zakuwa umelogwa au una majini wanakusumbua ili usitulie na kuwa na Amani.
Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com
+255762053174/+255621870342
+255762053174/+255621870342
No comments:
Post a Comment