Sunday, 20 April 2014

tiba ya kuingia kwenye hezi bila kikomo

Inatokea mwanmke anaingia kwenye hezi miezi hata mitatu na kuendelea bila kuacha na hospitali hawaoni chanzo na akitibiwa haponi kabisa.

Sasa hii atatumia madawa aina 32 yanayotokana na miti 32 na ni unga na unatumia kwenye asali na hii dawa inatibu magonjwa mengi yanayojulkana na hata yasiyojulikana.

Pia atapata mafuta yatokanayo na miti iliyobarikiwa na kutajwa katika injili, taurati na qur'an na Mungu amebariki miti hii na mafuta yake yamebarikiwa.

kama hospitali hawajaona chanzo na hata tiba haijapatikana basi tumia dawa hizi Mungu atakujalia utapona.


Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment