Sunday, 20 April 2014

Tiba kuota ndoto za kutisha kila mara

Mara nyingi ndoto zipo za aina mbili, zile za kawaida na zile kutisha na unakabwa na vitu vya ajabu au unaingiliwa na wanyama au viumbe vya kutisha. hizi ndoto zinamfanya mtu hasipendi hata kulala ikiingia usiku kwani hapati furaha ya usingizi. Hizi ndoto za kuteswa ni za kishetani na hata wachawi wanaingia kwenye nyumba bila kufungua milango kwa nguvu za shetani

dawa yake ni mafuta yaliyotokana na mafuta mbali mbali na dawa mbali mbali zenye nguvu ya ajabu kwani watu wakisha tumia wanatupa taarifa ya kulala kwa amani na haya mamjamaa yaani mashetani hayawaguzi kamwe na hata wachawi wanaokuja usiku kuwachnja na kuwalisha vitu wanakuwa hawawezi tena.

Mafuta haya yametokana na miti iliyotajwa katika vitabu vya dini kama injili, taurati, zaburi na Qur'ani kwa hali hiyo basi yana nguvu na ponyo za uwezo wa Mungu.


Powerful soap for clearance of devils effects

Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment