Sunday, 20 April 2014

Tiba ya kutibu vitu vinavyotembea mwilini na kuona baadhi ya sehemu za mwili zinatetemeka bila sababu inayojulikana

Dawa hii ni mchanganyiko wa madawa 32 na imekuwa tayari unga kwa kusagwa na imefanyiwa tiba kwa watu wengi na kwa uwezo aliyoweka Mungu kwenye miti hii wanapona maradhi mengi yakiwemo hayo.

Pia kuna dawa ya kujipaka ya mafuta yenye fomula kutokana na miti na mafuta yenye baraka kubwa kwa kufanya tiba iwe strong na hata hali isirudie tena ni kuwa unajipaka kabla ya kulala na utakuwa na usingizi mzuri bila kuota ndoto za hatari na za vitisho, haya mafuta yametokana na miti iliyobarikiwa sana na kutajwa katika vitabu vya dini zote. Kwa hiyo mafuta haya yana ponyo za kimiujiza kwa matatizo yoyote ya kiroho na kimwili kama kukata tamaa, nguvu za giza na kukosa nia na hali ya shuguli zako, kuongeza kujiamini na kuaminiwa pindi ukijipaka utahisi una mori na mood ya pekee amabayo siwezi kukuelezea kwa maneno ukanielewa.
utaweza kujitambua zaidi na kuwa na mwelekeo ukiwa una mfazaiko na hali ya kukata tamaa. Pata mafuta haya uone matumizi yake na miujiza aliyoweka Mungu muumba kwenye miti hii inayotoa mafuta haya.

Powerful Soap ni sabuni ya kuoga yenye dawa za kuondoa athari za uchawi kama mikosi na nuksi


Usidanganywe kuwa mtu anarudisha nyota yako au kivuli kimechukuliwa kirudishwe au kupigiwa ramli na eti kukusafisha nyota yako. Tumia mafuta haya utakuwa sawa kwa hali yoyote utakayotaka Mungu akupe mradi ujue kuwa Mungu ndo ana uwezo kuliko shetani na washirikana. Nyota ya mtu haichukuliwi ila mawazo na kukata taamaa yanamfanya mwanadamu akubali kila ushauri unaoelekea na utatuzi wa shida zake. Sasa mafuta haya kwa uwezo wa Mungu aliyotia kwenye miti hii na akaitaja pia kwenye biblia na Qur'an inatosha kusafisha nyota yako na kukufanya uwe mpya ukijipaka mafuta haya yaliyobarikiwa na Muumba wa kila kitu. Soma biblia na Qur'an utakuta miti imetajwa na sisi tunayatengeneza kwa kutumia mafuta kutoka miti hiyo.


Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment