Saturday 1 August 2015

Kutibu uchawi, nuksi na mikosi ya kiuchawi

Unakunywa dawa ya MT32(Zaidi ya mitishamba 32, unaoga sabuni(Powerful soap) na Unajipaka mafuta Powerful Oil na matokeo yatakuwa mazuri kwa uwezo wa Mungu muweza na muumba wa kila kitu 


Kutokana na kushamiri kwa ushirikina na vitendo vya kutisha ambapo wanadamu wanatumia kila njia kuwadhuru wenzao kwa sababu kama husuda, tamaa, wivu, roho mbaya na sababu nyingine zisizojulikana kwa waathiriwa.

Shetani Rucifer / Azzazil amepata kundi la watu na kila siku wanamfuata kumtii ili awape nguvu za kishetani kupitia majini, mapepo na mizimu.

Wachawi wanawaloga watu kama kuwatumia majini na kuwatega madawa kwa msaada wa majini au mashetani yenye mkataba na mchawi kiasi kwamba mtu anaweza kupata matatizo ya kiuchawi mengi tu.

Uchawi upo ila mtegemee Mungu mmoja wa pekee atakulinda na madhara yake na ukiwa umeathirika na uchawi tumia dawa na maombi ya dhati juu ya Mumgu muweza utapona ila subira na moyo wa imani ni muhimu wakati wa matibabu ya madhara sugu ya uchawi.



Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment