Monday 24 August 2015

Dawa za kondoa nuksi, mikosi na uchawi mwilini



Madawa yenye nguvu

Madawa haya: Powerful Oil, Powerful Soap,MT32 na SAFISHA
Kuna dawa za asili zenye nguvu kutokana na utafiti wa dawa zaidi ya 32 zisizo na kemikali kwa kunywa na kutumia siku 7 utapona maradhi mengi na kuwa na afya safi kwani zinatibu na wakati huo zinajenga mwili wako kuwa imara.
Dawa hii inaitwa MT32 kwa kutibu maradhi haya:
Typhoid
Malaria
Amoeba
Kukosa choo inasaidia kupata choo na kusafisha mishipa ya damu
Kuhisi miguu inawaka moto
Kuhisi vichomi mwilini na tumboni
Kuondoa madhara ya nguvu za giza mwilini
IMG_20150716_134951MT32 kwa tiba nyingi na dawa ziko zaidi ya 32 zimesagwa na unaweza chemsha na kunywa au kuweka kwenye asali



Powerful Oil -Mafuta yenye nguvu na kuondoa athari za nguvu za giza na kufukuza mapepo popote na mwilini mwako, kuzuia ndoto za kutisha na za ajabu, kutibu miguu IMG_20150716_135130kupata ganzi au kuchemka, kujihisi umekata tamaa kinafsi na uchovu usiokwisha. Unajipaka kabla ya kulala na asubuhi, utaona mwenyewe matokeo kwani ni mafuta yenye mchanganyiko kutokana na miti mitakatifu iliyotajwa kutoka katika vitabu vya dini vitakatifu kama Injili, Taurati, Zaburi na Qur’an
Powerful Soap-Sabuni ya kuoga yenye dawa na mafuta rasmi kuondoa athari za nguvu za giza kama nuksi na mikosi kwa kujisugua na mwili mzima kila siku unaitumia kuoga kwa siku 14 na inasaidia kuondoa uchovu, maumivu ya mwili, kulainisha ngozi na kukufanya uwe na uso wenye nuru. Mapepo aina zote na wachawi si rahisi kukuingilia ukiwa umeoga sabuni hii na kujipaka powerful oil. Utafiti wa kina umefanywa na utaona mwenyewe ukiishatumia.
IMG_20150716_135008
SAFISHA-hii dawa ya unga isiyo na kemikali ni kuondoa sumu mwilini na mafuta tumboni kiasi kwamba unaharisha kiasi na kukusaidia kupata choo kama choo inakuwa ya shida mpaka unalazimisha kinyeshi kama cha mbuzi na kupasuka sehemu ya haja kubwa. Unatumia siku 6 kwenye maji moto glasi 1 x 2

Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Tuna ofisi Ubungo, karibu na Stand ya Mkoa
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment