Monday 24 August 2015

Pata tiba ya magonjwa yasiyoeleweka kwa vipimo vya hospitali

Siku hizi kuna magonjwa hayapimiki wala kuelezeka Hospitalinia kama kuota ndoto za kutisha au kuota unaingiliwa kimapenzi na majitu, wanyama, au kuchanjwa usiku na kukatwa nywele, kusinyaa uume ghafula ukitaka kufanya tendo la ndoa na kulegea na kuishiwa nguvu ghafla. Je unaweza kupima haya hospitali au dawa gani ya hospitali watakupa kama si kukuharibu zaidi.
  • Kuna magonjwa kama kuhisi moyo unachoma na unaogopa bila sababu
  • Kuingia kwenye siku za hedhi kwa shida na kuhisi maumivu makali
  • Kuingia kwenye hedhi bila kukoma na kubadilika tarehe
  • Kuhisi umebeba kitu mgongoni
  • Kuota ndoto unakishwa vitu
  • Kuota unaongea na watu waliokufa
  • Kukosa choo na kukipata kwa tabu
  • Kupiga myayo mara kwa mara bila usingizi wala njaa
  • Kuwa na hasira isiyo ya kawaida
  • Kuota sehemu chafu kama chooni mara kwa mara
  • Kuota mambo na yakawa ya kweili na wewe si mcha Mungu wa kufikia kiasi hicho
  • Kusinzia mara kwa mara na kwenye hotuba au vikao umuhimu wewe ni usingizi tu
  • Miguu kuwaka moto na baadhi ya viungo kufa ganzi/kupata ganzi
  • Kutingishika baadhi ya viungo vyenyewe
  • Kuchukiwa na watu hata ndugu, bosi na mke au mme bila sababu
  • Mwanamke kutopenda tendo la ndoa na akifanya anakauka na kulazimishwa mpaka anachubuka
  • Kuota uko makaburini
  • Kuota unapaa na wakati mwingine uko nyikani/msituni
  • Kuota unazaa na kunyonyesha watoto mara kwa mara
  • Kuandamwa na ajali mara kwa mara na majanga yasiyokuwa na chanzo cha wazi
  • Kuhisi mtu amekusimamia na ukiangalia humuoni
  • Kuitwa jina lako usiku au mchana na mtu aliyekuita humuoni
  • Kuhisi miluzi maskioni na huoni chanzo chake
  • Kuota unakojoa mara kwa mara
  • Kuhisi unataka kuchizi na kutamani kujiua kila jambo likikupata

Madawa yenye kutibu hayo hapo juu kwa uwezo Mwenyezi Mungu mmoja wa pekee muweza wa kila kitu

Madawa haya: Powerful Oil, Powerful Soap,MT32 na SAFISHA
Kuna dawa za asili zenye nguvu kutokana na utafiti wa dawa zaidi ya 32 zisizo na kemikali kwa kunywa na kutumia siku 7 utapona maradhi mengi na kuwa na afya safi kwani zinatibu na wakati huo zinajenga mwili wako kuwa imara.
Dawa hii inaitwa MT32 kwa kutibu maradhi haya:
Typhoid
Malaria
Amoeba
Kukosa choo inasaidia kupata choo na kusafisha mishipa ya damu
Kuhisi miguu inawaka moto
Kuhisi vichomi mwilini na tumboni
Kuondoa madhara ya nguvu za giza mwilini
IMG_20150716_134951MT32 kwa tiba nyingi na dawa ziko zaidi ya 32 zimesagwa na unaweza chemsha na kunywa au kuweka kwenye asali


Powerful Oil -Mafuta yenye nguvu na kuondoa athari za nguvu za giza na kufukuza mapepo popote na mwilini mwako, kuzuia ndoto za kutisha na za ajabu, kutibu miguu IMG_20150716_135130kupata ganzi au kuchemka, kujihisi umekata tamaa kinafsi na uchovu usiokwisha. Unajipaka kabla ya kulala na asubuhi, utaona mwenyewe matokeo kwani ni mafuta yenye mchanganyiko kutokana na miti mitakatifu iliyotajwa kutoka katika vitabu vya dini vitakatifu kama Injili, Taurati, Zaburi na Qur’an
Powerful Soap-Sabuni ya kuoga yenye dawa na mafuta rasmi kuondoa athari za nguvu za giza kama nuksi na mikosi kwa kujisugua na mwili mzima kila siku unaitumia kuoga kwa siku 14 na inasaidia kuondoa uchovu, maumivu ya mwili, kulainisha ngozi na kukufanya uwe na uso wenye nuru. Mapepo aina zote na wachawi si rahisi kukuingilia ukiwa umeoga sabuni hii na kujipaka powerful oil. Utafiti wa kina umefanywa na utaona mwenyewe ukiishatumia.
IMG_20150716_135008
SAFISHA-hii dawa ya unga isiyo na kemikali ni kuondoa sumu mwilini na mafuta tumboni kiasi kwamba unaharisha kiasi na kukusaidia kupata choo kama choo inakuwa ya shida mpaka unalazimisha kinyeshi kama cha mbuzi na kupasuka sehemu ya haja kubwa. Unatumia siku 6 kwenye maji moto glasi 1 x 2

Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment