Thursday 26 March 2020

Husuda ni chanzo cha uchawi

Watu au mtu, tena rafiki au ndugu wa karibu anaweza akakuloga kutokana na husuda wewe bila kujua.
Dalili kubwa za kulogwa ni:
Kuota ndoto za ajabu na za kutisha
Kuhisi vitu vinatembea mwilini
Kuota unafanya mapenzi
Kuota unapaa
Kuota unakula au unalishwa
Kuhisi ganzi
Kuhisi miguu inawaka moto
Kuchukiwa na watu walio wengi bila sababu
Maisha kuwa magumu bila sababu na hata ukiwa na mtaji mambo hayaendi kabisa
Unakata tamaa hata kwa mambo madogo yaliyojitokeza kama changamoto kimaisha
Kuwa mwoga hata bila kosa
Kuhisi mtu amekusimamia
Ndoa vurugu tena bila sababu za msingi
Kuhisi sisimizi zinatembea juu ya mwili
Kutetemeka baadhi ya viungo
Kukosa nguvu za kiume
Kulegea uume na kusinyaa
Kukosa hamu ya tendo la ndoa
Ndoa kukosa amani bila sababu
Kuwa mlevi kupindukia mpaka kukopa pombe
Kupenda kuzini mpaka ndugu zako unawatamani

Jambo la uchawi si siri tena kwani kuna vyuo mpaka sasa vinafundisha uchawi kuanzia vyeti hadi digrii.

Ukipimwa hospitali na kugundulika huna ugonjwa ila bado unaumwa basi jua kwamba kuna kingine kisichoonekana kwa vyombo vya hospitali na wahi upate tiba sahihi na wala usiende kwa wapiga ramli.

Dawa hizi zinatibu magonjwa ya kiuchawi na kufukuza majini na nguvu zote za giza kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee aliyeumba kila kitu.




Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Tuna ofisi Ubungo, karibu na Stand ya Mkoa
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment