Thursday 26 March 2020

Kutokana na ulimwengu kuwa kama kijiji, kwa maana mawasiliano kuwa mepesi kuanzia simu hadi mitandao imesababisha faida na hasara.
Hasara mojawapo ni kusambaa kwa elimu za kichawi na mafundisho mengi ya kishetani kusambaa kwa haraka kupitia mtandaoni!
Pamoja na hayo, pia maisha kuwa tofauti sana kati ya mtu na mtu kwenye sehemu moja na familia moja na jamaa wa karibu au kazini kuwa na hali tofauti kielimu na kimaisha imechangia husuda na ndoto za kufanikiwa kwa haraka kwa imani za bahati na nyota.
Baadhi ya wanadamu wenye husuda na chuki uloga wenzao na kuwatupia uchawi kwa njia nyingi kama kuwatega, kuwalisha, kuwatumia majini na mapembe. Hii hali umuathiri mtu bila kujua na akiambiwa anasema ni mambo ya Kiswahili hayana lolote na hayapo! Fanya utafiti kwenye mtandao utaona vyuo vyote vya Afrika ya kusini vinafundisha uchawi tena digrii na Waziri wa elimu alishatoa tamko bungeni.
Ulaya yote na America bila kusahau Asia uchawi ulishaanza kufundishwa na sasa mpaka PHD za uchawi zinafundishwa na sasa wameanza kwa watoto wa Sekondari, chama cha WICCA cha wachawi ndo sasa kina wafuasi wengi Ulaya na Dunia nzima kinasambaa kwa intaneti bila kusahau wanaojiita Freemason.
Kwa hiyo ukiona unaumwa bila kupata ugonjwa jiulize mara zaidi na tafuta tiba mbadala kabla ya kuathirika, kwani hali si shwari mpaka sasa.
Dalili za kulogwa au kuwa na majini ni:
  • Kujihisi umekata tamaa na huna hamu ya maisha
  • Kuota ndoto za ajabu na kuogofya
  • Kuota unafanya mapenzi
  • Kuota unalisha nyama au chakula
  • Kuota unapaa
  • Kukosa hamu la tendo la ndoa
  • Mikasa ya mara kwa mara mpaka jamaa zako wanasema una gundu au mikosi au nuksi
  • Kuchukiwa na watu wengi bila sababu
  • Ukifika kwa watu wananyamaza hata wakiwa wanaongea ya kawaida na kisha wanatawanyika
  • Kuchukiwa na bosi wako kazini
  • Kuchukiwa na wateja
  • Biashara kukosa wateja ghafla
  • Mke kuchukiwa na mume na jamaa wa karibu hata kama anayo roho nzuri
Kuna dalili nyingi ila hizo ni baadhi na ukiumwa bila kupona au ugonjwa huoni basi tumia dawa za tiba mbadala hasa zenye nguvu kama zifuatazo:
Mt32, Powerful Oil, Powerful soap na Safisha, utaondoa kila kitu kuhusu nguvu za giza na majini yenye kukusumbua umelala hadi yanakuingilia kwa kufanyisha tendo la ndoa na kukuchafua.





Mawasiliano ni:
076253174. Tuko Dsm Ubungo.
WhatsApp: +255621870342
Email:tibaherbs@gmail.com
Dawa zake ni:
MT32, Powerful Oil, Powerful Soap na Safisha

No comments:

Post a Comment