Thursday 26 March 2020

Uchawi na kulogwa vipo sana

Kutokana na mafundisho ya kale tunaona Nabii Musa alipokwenda Misri kwa Farao kuwakomboa waizraeli, Farao aliwaita wachawi wakali wa Misri ili wapambane na Musa aliyekuwa na miujiza kutoka kwa Mungu mmoja wa pekee.
Farao na watu wa kawaida walidhani Musa ni mchawi na kushauri waitwe wachawi wa kumuonyesha uchawi zaidi yake na kumkomesha, ila ajabu vyote walivyifanya havikufua dafu mbele ya Musa aliyekuwa na Uwezo wa Mungu.
Kwa hiyo uchawi upo na unakuwa sana kwa sasa kutokana na internet, simu na mawasiliano yote ya kisasa, wachawi wanapata kanuni mpya na pia tiba zipo za kweli na za utapeli.
Ukiwa na mafanikio katika maisha yako watu wanakuhusudu sana na wengine wanafurahi sana na wengine wanachukia na kuanza maneno kisha baadhi yao wanakuloga. Mafanikio kama akili, kupendwa na watu, kupata mali, kuzaa watoto wenye akili,kuishi kwa amani na mke wako na kuheshimika ni vitu vinavyoweza kukufanya uhusudiwe na baadhi ya watu walioko karibu na pengine jamaa wa karibu au marafiki.
Kuzuia husuda na kutibu uchawi ni jambo la kuzingatia kwa kufanya maombi ya mara kwa mara na kunywa dawa halisi za kuondoa uchawi mwilini na kufukuza majini.
Dalili kuu za kulogwa na kuhusudiwa
  • Kuota ndoto za kutisha
  • Kuota nyoka na mapaka
  • Kuhisi huna nguvu hasa kuchoka mapema asubuhi bila sababu
  • Kuchukiwa na watu wengi hadi familia yako bila sababu
  • Kupata mikasa ya ajabu mpaka watu wanasema una mikosi na nuksi
  • Kudharauliwa na watu wengi hata wadodo kiumri
  • Kuota uko chooni
  • Kuota unafanya mapenzi
  • Kuota unaoa au unaolewa
  • Kuota watoto mara kwa mara
  • Kutamani kufa au fikira za kujiua
  • Kuongea na kuuma meno usinginizini
  • Kuhisi kama sindano mwilini
  • Kuchukia tendo la ndoa
  • Kukosa mimba au kutunga mimba
  • Kusikia unaitwa na anayekuita humuoni
  • Kuota damu
  • Kuota unajisaidia au kukojoa mara kwa mara
  • Mboo kuwa lege lege ukikaribia kuingiza ukeni
  • Kuwa dhaifu kumbu kumbu
  • Kusahau sana na kukumbushwa mara kwa mara
  • Kuhisi kuna mtu amekufuata nyuma ila ukiangalia humuoni
  • Kukosa muelekeo wa maisha
  • Kuna dalili nyingi za kichawi na kulogwa ila hizo ni miongoni tu
Dawa za kutibu uchawi na nguvu za giza ni:
  • Powerful oil-Dawa zimechanganywa kwenye mafuta yaliyobarikiwa na kutajwa kwenye vitabu vya dini kuanzia Taurati, Zaburi, Injili na Qur'an
  • Mt32-Dawa zaidi ya 32 za asili zilizosagwa na kuwa unga zinazotibu magonjwa mengi
  • Powerful soap-Sabuni yenye dawa za asili nne na mafuta kiasi kwamba nguvu za giza na mikosi, nuksi vinatibiwa.
  • Safisha-Dawa ya asili isiyokuwa na kemikali yoyote inayosafishwa utumbo na mfumo wa chakula kiasi kwamba uchafu, mafuta na uchawi wa kulishwa vinatoka kwa kuharisha.
  • Extra Powerful oil-Mafuta yenye dawa kali za kufukuza majini na wachawi wasiingie nyumbani kwako na kufukuza majini na kuondoa nguvu za giza nyumbani au shambani au sehemu ya biashara.




Mawasiliano:
Ofisi zetu ziko Ubungo  Dar es Salaam,karibu na MIC Hotel kabla ya kufika Ubungo Plaza ukiwa unatoka Ubungo stand ya mkoa.
Simu/WhatsApp:+255621870342, +255762053174: Email:tibaherbs@gmail.com

No comments:

Post a Comment