Thursday 26 March 2020

Kisukari ni ugonjwa

Sukari kuwa zaidi ya 7(mol/ltr) kwenye damu si nzuri kiafya. Sasa ikitokea ikawa zaidi ya hapo wanasema ni sukari ya kupanda(Type 1 na Type2 diabetes), hii haipashwi kutumia dawa za hospitali kwani zenyewe zinafanya kazi ya kushusha na wakati huo huo chanzo cha sukari hakiguswi kabisa.
Matokeo yake unaharibu viungo vingine vya mwili kwani hizi dawa zina kemikali na zinafanya kazi kuanzia kwenye ini na kongosho.
Baada ya muda watasema dawa zimezoea mwili badilisha dawa na kila mara unazidi kufanya mwili dhaifu na kuathiri mfumo wa moyo na kisha magonjwa ya figo, mishipa, moyo na ubongo.
Tumia vyakula vyenye GI ndogo, GI ni kiwango cha uwezo wa baadhi ya vyakula kupandisha suakari haraka baada ya kuvila. Kula vyakula kama matunda ya avacado, matango, karoti na mboga za majani, kula dona au mchele wa brown na fanya mazoezi. Tumia DIA TEA
DIA TEA ni dawa inayorekebisha suakari na haina madhara unakunywa kama chai bila kuweka suakari, utapata afya na nguvu kisha utaona matokeo mazuri ya afya yako ukitumia DIA TEA.

Dia Tea ni dawa za asili zenye viini vya kusaidia Kongosho kufanya kazi vizuri zaidi kwa mwenye kisukari hasa ile ya kupanda, kongosho ndio inatoa homoni iitwayo Insulini, hii insulini usaidia chembe za mwili kupokea sukari kutoka kwenye damu na kutumika mwilini kuongeza nisahati na mengine muhimu kiafya.

Kwa hiyo inasaidia chanzo na kuupa mwili afya nzuri bila maradhi kwa sababu hakuna kemikali yoyote ila badala ya kutumia majani tumia Dia Tea kwenye chai utarekebisha sukari na hapo hapo unajenga mwili wako.

Tuko Ububngo karibu na stand ya mkoa kwa ushauri na kupata hii Dia Tea.

Mawasiliano: +255762053174, Email:tibaherbs@gmail.com

No comments:

Post a Comment