Saturday, 19 April 2014

Dalili za kulogwa au kuwa na uchawi mwili au kuwa na majini

Dalili za kurogwa au kuwa na jini mwilini
  • Kuota ndoto za kutisha mara kwa mara
  • Kuumwa kichwa bila kupona hasa upande mmoja
  • Kuhisi umebeba mzigo mabegani
  • Kubanwa kifua bila sababu
  • Kuwa na hofu bila sababu
  • Kupenda kulala sana na masaa mengi unapenda kuwa pekee yako
  • Kukata tamaa ya kuishi na kutamani kujiua
  • Kujisikia mchovu muda wote
  • Kuona ukungu machoni na huku hauna malaria
  • Kwa mwanaume kukosa nguvu za kiume hata kama ana hamu ya kutenda tendo la ndoa
  • Mwanamke kuingia hezini muda wote bila kikomo
  • Kuona mke wako ana sura mbaya wakati ulimuoa ukimuona anayo sura ya kupendeza
  • Kumuona mme wako ana sura mbaya wakati anakuoa ulimuona ana sura nzuri
  • Kusikia vitu vinatembea mwilini na baadhi ya viungo vinatingishika bila wewe kuvitingisha
  • Kuhisi kiungo kina joto lisilo la kawaida na wakati mwingine kiungo kupata ganzi
  • Kupata stroke isiyoeleweka chanzo chake
  • Kuongea usiku na watu waliokufa siku nyingi
  • Kuota unaingia chooni na kujisaidia au kukojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
  • Kukuta umechanjwa au una mikwaruzo mikubwa mwilini
  • Kuchukia mke au mme bila sababu na akiongea utaona anaongea mambo ya kijinga na utamjibu vibaya na hapo mtaanza kugombana bila sababu ya msingi.
  • Kuwa kichaa bila sababu ya kisayansi inayotambulika
  • Kutoona vizuri wakati fulani na macho kuuma bila sababu zinazoonekana, hii ni kwa wanafunzi na wafanyakazi
  • Kupenda machafu muda wote yaani zinaa, ulevi, fitina, n.k
  • Kuota unalishwa madawa au nyama kwa mazingira usiyoelewa na watu unaowajua na usiowajua
  • Kuota mara kwa mara uko makaburini
  • kuota ndoto za kweli wakati wewe si mchamungu.
  • Kuugua kifafa isiyo ya kawaida
  • Kutoka mimba zikiwa changa bila sababu zilizothibitishwa kisayansi.
  • Kupenda kufanya tendo la ndoa mara kwa mara na hata kutamani
  • Kutotulia na kuwa makini kwenye kazi za kukuingizia kipato
  • Kuchukiwa na bosi au watu bila sababu yoyote
  • kuwa mzembe kwa kila shuguli zote za maana na faida kwako
  • pesa kupotea bila kujua na katika njia za kutatanisha
  • Kuhisi kama moyo unacheza cheza bila kuuma
  • mwanamke kuingia kwenye hedhi bila kikomo na damu kutoka kwa wingi kama miezi miwili mfululizo bila kukoma na sababu za kisayansi zikakwama kupata jibu na tiba.
  • Kustukia uko nje usiku na huku mlango umefungwa 
  •  
  •  
    Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
    Email: tibaherbs@gmail.com 

     +255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment