Dalili kubwa ni hizi:
- Ukiingia ndani yake utahisi roho kuwa na wasi wasi na ukitoka nje yake utajisikia umekuwa huru
- Usiku kuhisi watu wanatembea au vitu vinadondoka na wakati ukifuatilia kama ni panya huoni panya wala paka hakuna kwenye nyumba hiyo.
- Kusikia sauti za paka usiku ndani ya nyumba na hali hakuna sehemu ya paka kupita ukiwasha taa paka huwaoni.
- Kusikia unaitwa kwa jina lako mara moja usiku na ukiamka husikii tena unaitwa na wala nje hakuna anayekuita.
- Kusikia kama mtu anabisha hodi na wala ukifuatilia huoni mtu anayebisha hodi
- Kusikia mlango unafunguliwa na ukiangalia unakuta umefungwa
- Kukuta mlango umefunguliwa uko wazi na hali uliufunga na hii ikawa inatokea mara kwa mara na wala si wezi wala hakuna kilichochukuliwa
- Kusikia mabati yanagongwa na vitu kama mawe usiku na milango inagongwa unazinduka usingizini
- Kunigwa na mtu au kundi ukiwa ndani ya nyumba hiyo na ukilala pengine haunigwi na unalala vizuri ila tu ukija kwenye nyumba hiyo unalala vibaya na ndoto za kutisha zinakukabili usiku kucha mpaka unaamka unakaa.
- Kuona mwanga kama radi na wakati hakuna radi wala mvua na wala hakuna aliyewasha taa au tochi
- Kuhisi watu wanaogea kwa sauti ya chini na kucheka usiku wa manane na ukifuatilia huoni watu hao na watu wote wamesinzia.
- kuhisi unapapaswa na mtu wakati umelala na wakati unakaribia kupelekwa na usingizi
- kufunuliwa shuka au blanketi ghafula kitandani na ukiwasha taa huoni aliyekufunua
- Kuona nyoka ndani na akapotelea kwenye sakafu au pembe ya nyumba na hali hakuna shimo wala nyufa za kuficha nyoka
- kuhisi upepo mkali ndani ya nyumba na wakati nje hakuna upepo wowote
- kuhisi kuna mtu amekusimamia nyuma yako ukiwa kwenye kiti au uko sehemu yoyote ndani ya nyumba hiyo
Tuwasiliane, Tutakuhudumia na Mungu atasaidia!
Email: tibaherbs@gmail.com
+255762053174/+255621870342
+255762053174/+255621870342
No comments:
Post a Comment